Jamaa 1 alikuwa ktk fukwe za coco beach akipunga upepo, mara akapita mzungu akamuuliza are you relax? Jamaa akajibu NO,hafla akapita mzungu mwingne akamuuliza are you relax? Jamaa akajibu no mm c relax ni alex. Jamaa akasogea upande wa pili akamkuta mzungu amekaa akamuuliza are you relax? Mzungu akajibu YES, akamkamata akamtia vibao akamwambia wenzio wanakutafta kule kumbe we ndo relax kwenda kule,mzungu akabakia kulia bila msaada
No comments:
Post a Comment