THE REAL WORLD

VIDEO LABS

                        VISUAL LAB NEXT LEVEL

Jamaa yuko juu vbaya sana kwa sasa kwani jumla ya video alizofanya hadi leo hii hazihesabiki kirahic laikini kikubwa ndiye anayeonekana kulishika sana soko la video Bongo..saffiii!!ukihitaji mawacliano neye just suscribe thru email at the page au nicheki hewaniiii!!


                                                        X-TREME VIDEOZ

 Imeanza kama utani hivi na video ya kwanza inayowatambulisha kwenye anga hili ni wimbo wa PNC  unaokwenda kwa jina la SWAGGA TU ambapo kijana mdogo ki umri lakini mwenye uwezo wa hali ya juu katika kufanya video Joseph Adam amefanya kitu cha kushangaza wengi akishirikiana na kijana mwingine anayekuja kwa kac ya ajabu Geofrey George MWANZO MZURI....GOODLUCK!!ngoja 2oneeeeeee


                         KALLAGE PICTURES


Jamaa anatishia game kifupi ni mkali na ana uwezo unaoonekana zaidi ya hayo sitaki kumwelezea nna uhakika mwenyewe unakiri kwamba mchizi yuko hi!!big up sana jembe kama vp wakomalie hadi mwisho kaka au co?MIAAAAAA!!!!

Follow Us @soratemplates